Monday, 11 December 2017


1.   Yesu kwetu ni rafiki, hwambiwa haja pia;
      tukiomba kwa Babaye, maombi asikiya;
       Lakini twajikosesha, twajitweka vibaya;
       kwamba tulimwomba Mungu, dua angesikia.

2.   Una dhiki na maonjo? Una mashaka pia.
  Haifai kufa moyo, dua atasikia.
          Hakuna mwingine mwema, wa kutuhurumia;
          atujua tu dhaifu; maombi asikia.


3.   Je hunayo hata nguvu, huwezi kwendelea,
  ujapodharauliwa, ujaporushwa pia.

       Watu wangekudharau, wapendao dunia,
       hukwambata mikononi, dua atasikia.

0 comments:

Post a Comment

Followers

Social Networks

Popular Posts

Blog Archive