1. Mungu ni pendo apenda watu,Mungu ni pendo anipenda
Sikilizeni furaha yangu,
Mungu ni pendo, anipenda
2. Nilipotea katika dhambi,
nikawa mtumwa wa shetani
nikawa mtumwa wa shetani
3. Akaja Yesu kuniokoa,
yeye kanipa kuwa huru
yeye kanipa kuwa huru
4. Sababu hii namtumikia,
namsifu yeye siku zote.
namsifu yeye siku zote.
0 comments:
Post a Comment